Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbosso kukinukisha Marekani

Mbosso Mbosso kukinukisha Marekani

Mon, 17 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota Wa Muziki Bongo, Mbosso ametangaza Tour yake ya muziki huko nchini Marekani.

Mbosso amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake Wa Instagram (Insta-Story) kuwa Tour hiyo itaanza rasmi Novemba 25 hadi Desemba 16 mwaka huu.

Hata hivyo, miji atakayofanya Tour yake hiyo haijatangazwa lakini ataweka wazi hivi karibuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live