Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbosso alipitia mazito, tulimuombea hadi akafanikiwa-Azam

Issa Na Mbosso Mbosso alipitia mazito, tulimuombea hadi akafanikiwa-Azam

Fri, 28 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chawa wa Diamond, Issa Azam amesema, Mbosso ni kijana mwenye nidhamu na kabla ya kuachia EP yake safari hii, walimuombea sana ili iweze kufanikiwa.

Issa alisema mara kadhaa walishapanga kufanya jambo kubwa kwa Mbosso kama hilo lakini lilikutana na matukio makubwa ya Kiserikali ikiwemo msiba wa Hayati Benjamini Mkapa.

“Safari hii mimi mwenyewe binafsi nimemuombea mdogo wangu na jambo lake kubwa kama hivi mnaona limetimia,” alisema Azam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live