Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbosso akabidhiwa kabidhiwa tuzo

9c7859a92554bafcd3ef1dada243cbe2 Mbosso akabidhiwa kabidhiwa tuzo

Thu, 10 Sep 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

MSANII, Mbosso Khan, amekabidhiwa tuzo tatu kwa pamoja na mtandao wa Boomplay, baada ya nyimbo zake tatu za Nadekezwa, Hodari na Tamu kufi kisha wasikilizaji/watazamaji 500,000 katika mtandao huo wa kusambaza kazi za muziki.

Akizungumza baada ya kupokea tuzo hizo, Mboso alisema anaelekea kutoa albamu yake ya kwanza na kuwashukuru mashabiki kwa kuzipokea kazi zake vizuri.

Msanii huyo ambaye alikiri kuwa na tatizo la kutetemeka mikono na kusema ni ugonjwa anaoishi nao, alisema mwaka huu alitarajia kumiliki nyumba yake, lakini ugonjwa wa covid-19 uliharibu mipango yake.

Wasanii wengine ambao wamepata tuzo hizo ni Juma Jux baada ya albamu yake ya The love kufikisha wasikilizaji zaidi ya 100, 000 katika mtandao huo.

Pia Nandy amepata tuzo hiyo baada ya kufikisha wasikilizaji zaidi ya 100,000 kupitia albamu yake ya The African Princess.

Chanzo: habarileo.co.tz