Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbosso aachia kionjo cha ngoma mpya

Mbosso: Napenda Kuigiza, Nipeni Dili Mbosso aachia kionjo cha ngoma mpya

Wed, 7 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Kutoka Label Ya WCB, Mbosso ameachia kionjo cha ngoma yake mpya.

Mbosso Ame-Share Video Fupi Katika Ukurasa Wake Wa IG Akiimba Ngoma Hiyo Na Kuweka Hashtag Iliyosomeka 'Sitaki'.

Ngoma Hii Itaifuata Amepotea Ambayo Imetoka Mwezi Ulipotia (Mei, 2023)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live