Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbosso: Napenda kuigiza, nipeni dili

Mbosso: Napenda Kuigiza, Nipeni Dili Mbosso: Napenda kuigiza, nipeni dili

Mon, 29 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Mbosso amesema anapenda sana kuigiza hivyo watu wasisite kumtafuta kumpa kazi.

Mbosso amesema, watu wasihofie kuwa chini ya lebo ya Wasafi kwani kikubwa kinachoangaliwa ni fedha hivyo muafaka ukipatikana, wanafanya kazi.

"Wasiiogope Wasafi, waje tu wazungumze na uongozi naamini watafikia muafaka. Napenda kuingiza tamthiliya au muvi hivyo wanitafute tu," alisema Mbosso.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live