Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mbakaji aangua kilio baada ya kuambiwa aliembaka ni Muathirika

Hiv 2ed69b423aa0ec9dfb8bc45dbee6c1a9b4d29e71 Mbakaji aangua kilio baada ya kuambiwa aliembaka ni Muathirika

Tue, 30 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

September mwaka 2013, Mahakama ya mjini Liverpool nchini Uingereza ilimhukumu Richard Thomas kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la kubaka.

Richard Thomas, aliyekuwa na miaka 27 wakati huo, alianguka chini ndani ya mahakama wakati polisi walipomjulisha kuhusu hali ya kiafya ya mwanamke aliyembaka.

Picha hapo inamuonesha Thomas akilia kwa uchungu, hata hivyo kilio hicho sio kwasababu ya hukumu, bali ni baada ya kuambiwa kuwa mwanamke aliyembaka ni mwathirika wa virusi vya ukimwi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live