Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mb Dogg avichua siri chimbuko la jina lake

Mb Dogg Mb Dogg avichua siri chimbuko la jina lake

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: Global Tv

Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva Mb Dogg amefunguka katika studio za Globala Radio na Tv kuwa hilo jina la Mb Dogg alipatiwa na jamii iliyomzunguka kwa wakati ule baada ya kuwa anagombanisha mbwa mtaani alipokuwa akiishi.

Mb Dogg ameweka wazi kuwa mama haye hakufurahishwa na kitendo cha yeye kupenda mbwa kwani siyo vitu vyake kabisa.

"Mama alikuwa Muislam hivyo hakuwa anapenda mbwa. Sasa akawa aniambia toka na mbwa wako, sasa ikawa ndiyo hivyo dog dog baadaye nikaweka jina langu MB nikaunganisha na Dogg," alisema Mb Dogg.

Chanzo: Global Tv