Bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa na ‘promota’ kutoka nchini Marekani Floyd Mayweather ameendelea kuonesha jeuri ya pesa, ambapo ameripotiwa kutumia dola 1.13 ambayo ni sawa na tsh 2.9 bilioni kununulia ‘tiketi’ watu 34 ili kwenda kushuhudia fainali za ‘Super Bowl’.
Bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa na ‘promota’ kutoka nchini Marekani Floyd Mayweather ameendelea kuonesha jeuri ya pesa, ambapo ameripotiwa kutumia dola 1.13 ambayo ni sawa na tsh 2.9 bilioni kununulia ‘tiketi’ watu 34 ili kwenda kushuhudia fainali za ‘Super Bowl’. Mchezo huo unatarajiwa kucheza siku ya Jumapili Februari 11, katika Uwanja wa Allegiant huko Paradise, Nevada ikiwa ni SuperBowl ya kwanza kufanyika Nevada nchini Marekani.