Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

May D Avunja Ukimya: P Square Hawakuwahi Kunilipa

May D May D na P Square

Sun, 13 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MSANII aliyefanya kazi kwa ukaribu na kwa muda mrefu na mapacha wanaounda Kundi la P Square, Peter na Paul Okoye, May D amejitokeza hadharani na kuibua jambo lililoshangaza wengi;

Amesema; “P Square hawakuwahi kunilipa, niamini 100%...”

Staa huyo wa Ngoma ya The Gat Me Hight anasema alishiriki matukio mengi ya kundi hilo kama shoo, kutunga na kutengeneza muziki wao kiasi cha kumtaja kwenye nyimbo zao, lakini baada ya kuvunjika kwa kundi hilo mwaka 2017 kabla ya kurudi tena mwaka jana, alitoka na mikono mitupu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live