Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mavokali matatani kwa kutumia msemo wa 'Bado Hamjasema'

Mavokali Matatani Kwa Kutumia Msemo Wa 'Bado Hamjasema' Mavokali matatani kwa kutumia msemo wa 'Bado Hamjasema'

Sun, 24 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchekeshaji Kago atishia kumshtaki msanii wa Bongo Fleva, Mavokali, kwa kutumia msemo wake wa ‘Bado Hamjasema’ katika wimbo wake mpya ‘HAMJASEMA’

Mchekeshaji Kago atishia kumshtaki msanii wa Bongo Fleva, Mavokali, kwa kutumia msemo wake wa ‘Bado Hamjasema’ katika wimbo wake mpya ‘HAMJASEMA’ Kago ameeleza kuwa mwanamuziki huyo ametumia msemo huo bila ridhaa yake huku akitaka watu kuheshimu misemo inayotolewa kwa sababu inakuwa na hati miliki ya mtoaji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live