Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mavokali asainiwa WCB?

Mavokaliiii Mavokali

Fri, 3 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya tetesi kuwa msanii aliyesainishwa jana Februari 2, 2023 na lebo ya WCB ni mwimbaji nyota wa kizazi kipya, Mavokali kuna uwezekano jambo hilo ni kweli.

Mavokali muda mfupi uliopita kupitia insta story yake ameandika “02/02/2023 Deal Done” akiwa na maana mwezi wa pili kuna dili amelikamilisha.

Kufuatia caption hiyo anazidi kuhusishwa kuwa ndiye msanii mpya wa lebo ya WCB anayesubiri kutambulishwa rasmi. Pia kwenye ukurasa wake wa Instagram ameondoa picha zote sehemu ya feed.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live