Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mavazi ya Mke wa Kanye West yazua taharuki Italy

Kanye Wife Mavazi ya Mke wa Kanye West yazua taharuki Italy

Wed, 23 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uvaaji wa mke wa Kanye West, Bianca Censori umezua taharuki kubwa kwa wakazi nchini Italia na umetafsiriwa kama ukosefu wa adabu kwenye jamii ambapo amekuwa akionekana mtupu kwa mavazi yake kuonesha sehemu kubwa ya mwili wake.

Uvaaji wa mke wa Kanye West, Bianca Censori umezua taharuki kubwa kwa wakazi nchini Italia na umetafsiriwa kama ukosefu wa adabu kwenye jamii ambapo amekuwa akionekana mtupu kwa mavazi yake kuonesha sehemu kubwa ya mwili wake. Tovuti ya TMZ imeripoti kwamba, wakazi wa mitaa anayopita Bianca walitoa taarifa polisi wakiripoti juu ya vitendo hivyo ambavyo kwa mujibu wa sheria za Italia hupelekea kutozwa faini ya hadi ($10,000) zaidi ya TSh. Milioni 25 au kifungo cha hadi miaka 4 jela.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live