Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maua kathibitisha kuachana na mzungu wake, kamuelezea Mwanaume alieenda nae ZNZ

1B1A6118.05 42 48 24.Still224 660x400 Maua kathibitisha kuachana na mzungu wake, kamuelezea Mwanaume alieenda nae ZNZ

Thu, 4 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Msanii Maua Sama athibitisha kuachana na mpenzi wake Aliyekuwa akisemekana ni Mzungu ambapo amaedai Sababu ni Umbali na huko alipo mchumba wake kuna lockdown iliyopelekea wakaambiana ukweli kuwa uhusiano uishe na kwa sasa ni marafiki tu.

Maua amefunguka hayo wakati aliposaini dili la Ubalozi wa moja ya Club yenye eneo la michezo na kupumzikia,Ubalozi ambao atakuwa nao kwa Muda mrefu.

Katika hatua nyingine Maua amesema hapendezwi na watu wanavyomshindanisha na msanii mwenzake Nandy, hii ikiwa ni baada ya kuachia wimbo wake wa Chuchumaa akidaiwa kutaka kushindana na Nandy aliyetoa wimbo wa ‘leo leo’

Chanzo: millardayo.com