Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maua Sama kafa kaoza kwa Ally Kiba

Build Up Maua Sama na Alikiba

Sun, 8 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Achana na Maua Sama kueleza kuwa hakuna aliyewahi kutokea mwenye sauti kama yake kwenye kuimba, amefunguka kingine baada ya kuweka wazi kumkubali Alikiba akisema anampenda mpaka anampenda.

Maua Sama amemjibu shabiki aliyemuuliza kuhusu uwepo wa collabo yake na Alikiba na akajibu kwamba 

"Kabisa nampenda, nampenda mpaka nampenda tena". 

Chanzo: www.tanzaniaweb.live