Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maua Sama kadokeza ujio wa collabo yake na T Pain

1111222 660x400 Maua Sama kadokeza ujio wa collabo yake na T Pain

Thu, 23 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni msanii wa kike kutokea kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Maua Sama time hii ametuhabarisha habari njema kuwa Ijumaa hii atadondosha collabo yake na T Pain.

Maua Sama ameujulisha umma na mashabiki wa muziki wake kupitia ukurasa wake wa instagram huku akionesha charts zake na rapper huyo.

Huku kionjo cha ngoma hiyo mpya ikisikika na kuandika…””… And It’s happening soon

Chanzo: millardayo.com