Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maua Sama anyanyua mikono kwa Gnako, Diamond

MAUA SAMAA Maua Sama

Sat, 11 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia wimbo mpya wa #GNako 'Komando' aliomshirikisha DiamodPlatnumz umeonekana kumkosha mwanamuziki Maua Sama na kupelekea uwanyanyulia mikono wasanii hao wawili.

Kufuatia wimbo mpya wa #GNako 'Komando' aliomshirikisha DiamodPlatnumz umeonekana kumkosha mwanamuziki Maua Sama na kupelekea uwanyanyulia mikono wasanii hao wawili. Maua Sama amedai kuwa wimbo huo wa G Nako akiwa pamoja na Diamond ni hatari, 'Komando' hadi sasa ni siku moja tangu uachiwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live