Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maua Sama: Siwezi kununua Range nikiwa kwenye nyumba ya kupanga

MAUA SAMAA Maua Sama

Sun, 25 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa bongo fleva Maua Sama anasema kwasasa ana malizia kujenga nyumba yake ya kisasa iliyopo Goba, Dar es salaam ndio anunue gari aina ya Range Rover kwani hawezi nunua gari la gharama ilihali bado yupo kwenye nyumba ya kulipia kodi

Msanii wa bongo fleva Maua Sama anasema kwasasa ana malizia kujenga nyumba yake ya kisasa iliyopo Goba, Dar es salaam ndio anunue gari aina ya Range Rover kwani hawezi nunua gari la gharama ilihali bado yupo kwenye nyumba ya kulipia kodi Aidha, mrembo huyo mwenye mvuto wake Bongo, amesema aliwahi kuwa kwenye mahusiano ya mwaka mmoja na mzungu lakini waliachana sababu mzungu alitaka aache muziki wakaishi wote nchini Italia kitu albacho Maua hakukiafiki kwani anataka mwanaume atakayesapoti kazi zake za muziki na sio kumuambia aache muziki kisa mahusiano au ndoa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live