Staa wa Muziki wa @mauasama amefunguka kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na Mzungu mwenye Miaka 50 na ilikuwa aolewe lakini Tatizo alitakiwa aache muziki Ndio akaolewe na Mzungu huyo kitu ambacho kwake ilikuwa ni ngumu.
Staa wa Muziki wa @mauasama amefunguka kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na Mzungu mwenye Miaka 50 na ilikuwa aolewe lakini Tatizo alitakiwa aache muziki Ndio akaolewe na Mzungu huyo kitu ambacho kwake ilikuwa ni ngumu. “Yalikuwa Mahusiano mazuri kwangu lakini Tatizo alitaka Niache muziki ili anioe kitu ambacho sikukubali, Tulikuwa kwenye Mahusiano ndani ya Mwaka mmoja nisingeweza kuacha muziki na kwenda italia kuolewa,Me Nataka mwanaume ambae ananisapoti kwenye muziki wangu sasa hivi ninae”