Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maua Sama: Nampenda Alikiba

Maua Sama X Kiba Maua Sama: Nampenda Alikiba

Wed, 28 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii staa mwimbaji wa muziki wa Bongofleva Maua Sama amepita kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio na kuweka wazi hisia zake kwa Mfalme wa Bongofleva Alikiba, Maua amesema ni muda mrefu sasa amekuwa akivutiwa na Alikiba.

Msanii staa mwimbaji wa muziki wa Bongofleva Maua Sama amepita kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio na kuweka wazi hisia zake kwa Mfalme wa Bongofleva Alikiba, Maua amesema ni muda mrefu sasa amekuwa akivutiwa na Alikiba. "Mimi namkubali tu Alikiba, nampendaa na kila siku nasema. Namkubali kwasababu ni handsome anavutia, ana rangi nzuri lakini namheshimu, napenda muziki wake" - Maua Sama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live