Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maua Sama: Mniombee na mimi niolewe

Maua Sama Ndoa Maua Sama

Wed, 28 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa anaesumbua kunako anga la Bongo Fleva, Maua Sama ameonesha nia yake ya kutaka kuingia katika ndoa.

Akizungumza kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Afrika Radio Maua amefunguka kuwa;

"Wengine wanaolewa lakini sisi wengine tupo tu, muanze kuniombea na mimi niolewe. Niko real lakini mapenzi yana vitu vingi sana na kuna muda yanazidi vitu vingi, mniombee niolewe"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live