Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maua Sama: Kama una mpenzi anakucheat na anarudi nyumbani, jipige kifuani

Maua Sama Maua Sama

Fri, 16 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bilionea Queen @mauasama bado anaendelea kutupa experience kuhusu kusalitiana kwenye mapenzi akisema kama una mpenzi anayekucheat na anarudi nyumbani jipige kifuani na ujiambie wewe ni Waziri wa vita.

"Ukipata mpenzi anayekucheat na bado unarudi nyumbani jipige kifuani jiambie mimi ni Waziri wa vita" ameandika Maua Sama

Siku kadhaa zilizopita aliweka wazi yupo tayari mwanaume wake kumsaliti kwa sharti moja tu kwamba mwanamke awe amemzidi kwa uzuri na utajiri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live