Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maua Sama: Ali Kiba ni kaka ila nko tayari kwa lolote akitaka

Maua Sama: Ali Kiba Ni Kaka Ila Nko Tayari Kwa Lolote Akitaka Maua Sama: Ali Kiba ni kaka ila nko tayari kwa lolote akitaka

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva, Maua Sama amesema mbali na kumkubali Ali Kiba kama kaka yake lakini pia yupo tayari kwa lolote kama mwamba akiliamsha.

Amesema yeye yupo single hivyo haoni tatizo lolote kama ikitokea jambo limekuwa jambo.

"Ni kaka yangu ndio, nampenda sana lakini pia niko tayari kwa lolote kama akitaka," alisema Maua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live