Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Matsutake! Uyoga ghali zaidi Duniani, Nusu kilo unauzwa Milioni 1.3

Matsutake Matsutake! Uyoga ghali zaidi Duniani, Nusu kilo unauzwa Milioni 1.3

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Je Wajua Uyoga aina ya (Matsutake) wa nchini Japan ndio uyoga wenye gharama kubwa zaidi duniani ambapo nusu kilo huuzwa kwa Dollar 500 (sawa na shilingi milioni moja na laki tatu za kitanzania)

Uyoga wa Matsutake, huota pia maeneo Korea, China na hata Marekani, lakini ule unaovunwa eneo la Kyoto nchini Japan ndio unaoheshimiwa na wenye bei kubwa zaidi.

Inaelezwa kuwa 'Matsutake' ya Kijapani huthaminishwa kutokana na harufu, umbile na ladha yake iliyo ya tofauti kabisa kwa mujibu wa watumiaji

Chanzo: www.tanzaniaweb.live