Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maswali magumu juu ya namba 11

Chris Brown Album 11.jpeg Maswali magumu juu ya namba 11

Sat, 21 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji Chris Brown ataachia Album yake mpya iitwayo “11:11” siku ya Novemba 11 (11/11) mwaka huu. Album hiyo itakuwa ya 11 kwa Chris Brown tangu aanze muziki.

Album hiyo itakuwa na jumla ya nyimbo 22, Nyimbo 11 za mwanzo zitaachiwa saa 5 Asubuhi yaani (11am) na nyimbo 11 zingine zitaachiwa saa 5 Usiku yaani (11pm) siku hiyo ya Novemba 11.

Tayari ameachia nyimbo mbili toka kwenye Album hiyo “Summer Too Hot” na “Sensational” ambayo imetoka leo akimshirikisha Davido na Lojay.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live