Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Masupa staa wengi wapo Tandale – Msaga Sugu (+video)

Video Archive
Mon, 11 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

/>

Kauli ya muimbaji huyo inakuja pale alipokuwa akifafanua kuhusu kufanya kolabo na Diamond na kueleza kuwa ni kitu ambacho kinawezekana kwani yeye na Diamond ni majirani.

“Unapomzungumzia Diamond yupo Tandale, wasanii wengi, masupa staa wote aidha ameishi Tandale au kazaliwa Tandale, masupa staa wengi wapo Tandale,” amesema.

“Kama sio kuzaliwa basi kakaa na wote wanatokea Tandale, kwa hiyo unapomzungumiza ni jirani yangu, mimi nipo kwa Mtogole,” Msaga Sumu ameiambia Bongo5.

Utakumbuka kipindi cha nyuma msanii wa muziki wa hip hop Bongo, One The Incredible alidai kwa muziki wa Bongo hakuna msanii aliyefika levo ya usupa staa bali wengi ni maarufu tu.



Loading...
Chanzo: bongo5.com