Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Master Jay awapa mchongo Diamond, Kiba, Harmonize

Master Jay Master Jay awastua Diamond, Kiba, Harmonize.

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwenye ukurasa wa Insgram wa producer na mdau mahiri wa muziki Tanzania, Master Jay, amewataka wasanii waendele na mapambano ya kuboresha muziki wa Bongo ili ukubalike nje bila sound za watu.

Kauli ya Master inakuja baada ya mastaa wa muziki Bongo, Diamond, Kiba, Harmonize na wengine kupiga pesa ndefu kwenye muziki wao kupitia shows na digital platforms za kuuza muziki tofauti na miaka ya nyuma.

"Narudia tena, vijana mnapambana sana na siku hizi mnapiga hela ndefu, sema msijisahaulishe kua safari ya international bado sana. Naomba muendelee kukaza zaidi, asanteni," amesema Master Jay.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live