Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Master Jay atoa neno kauli ya Khaligraph Jones

Master Jay X Kalighraph Jones Master Jay atoa neno kauli ya Khaligraph Jones

Thu, 24 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Rapa kutoka Kenya Khaligraph Jones kuwachana marapa wa Bongo na kuwataka waingie studio kama kweli wanataka Battle nae.

Kutoka kwa Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Tanzania Master Jay amefunguka haya juu ya sakata la Khaligraph Jones na Wabongo

"Yaani tunampa jamaa free promo worth millions of Shillings wakati alikua hata hajulikani hapa Bongo kiviiiiiile. Smart move Brian, akili nyingi. Sema unachokitafuta utakipata. #LyricalBeatDown"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live