Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Master J amcharukia shabiki kisa kumwambia mtoto wake yuko utupu

Hg Master J Master J amcharukia shabiki kisa kumwambia mtoto wake yuko utupu

Fri, 11 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Master J kuposti picha ya hii Binti yake wa kwanza, Nuru ambaye ameolewa hivi karibuni, moja ya shabiki aliibuka na kudai amepiga picha na mtoto aliyevaa vibaya.

Sasa Master J kamjibu shabiki huyo kama ifuatavyo; "Inteligence Mwamba We endelea na hitikadi zako acha binaadam wengine waendelee kuishi kwa hitikadi zao ili mradi wasiwe wanavunja sheria za nchi.".

"Mimi nimemlea mwanangu kwa hitikadi zangu na akaniheshimisha kwa kuhitimu chuo kikuu kama Engineer na Jumamosi iliyopita akaolewa.

"Jumatatu ataanza maisha yake nchini Canada kama mke wa mtu na kama mfanyakazi (Engineer majoring in Oil & Gas.) Mwenzangu mimi wewe unaendeleaje na hitikadi zako huko uliko?

"SOMO: Learn to respect other peoples ways even if they are different to yours. Not everybody has to live their lives according to yours Buddah, asante," amesema Master J.

Kwenye comments nimeweka screen shot ya kile alichoandika Master J.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live