Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Master J: Mashabiki wanafikiria level ya kimaskini

Master Jay Master J: Mashabiki wanafikiria level ya kimaskini

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuhusu wasanii wa Bongo kutoboa nje ya Tanzania na kuwa wakubwa Africa Producer Mkongwe wa BongoFleva @masterjtz anasema kuna baadhi ya mashabiki wanafikiria suala hilo katika level ya umaskini na kuweka uteam mbele.

Kuhusu wasanii wa Bongo kutoboa nje ya Tanzania na kuwa wakubwa Africa Producer Mkongwe wa BongoFleva @masterjtz anasema kuna baadhi ya mashabiki wanafikiria suala hilo katika level ya umaskini na kuweka uteam mbele. "Mashabiki bado wanafikiria level ya chini ya kimaskini ya U-team, bado tunahangaika nani anatrend wakati watu wanafikiria vitu vikubwa zaidi. Unanitukana mimi kwa sababu nataka msanii wa Bongo akampite m-Nigeria? Kosa langu kiko wapi hapo," amesema Master J.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live