Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa wamtaka Dulla Makabila kutoa neno "Sinema" la Manara na zaylissa

Makabila X Manara Mastaa wamtaka Dulla Makabila kutoa neno "Sinema" la Manara na zaylissa

Sat, 18 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia na video zinazosambaa mitandaoni zikimuonesha aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara na aliyekuwa mke wa Dulla Makabila, Zaylissa kuhusishwa kutoka kimapenzi, mastaa mbalimbali wamejitokeza na kumtaka Makabila aongee chochote kuhusu tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Makabila ali-post picha siku ya jana akiwa hajaandika kitu chochote, ambapo mastaa mbalimbali kupitia upande wa ‘komenti’ wakimtaka msanii huyo kuongea kitu chochote

Kati ya ma-star hao ni Wolper, Rushaynah, Platform, Sophi Juakali, Simpletheboy na wengine wote wakimtaka Dulla Makabila aongee chochote kuhusiana na video hizo zinazo-trend mitandaoni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live