Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa walivyojiachia kwenye Redcarpet ya Met Gala 2023

Screen Shot 2023 05 02 At 5.png Mastaa walivyojiachia kwenye Redcarpet ya Met Gala 2023

Wed, 3 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inafahamika kuwa mwanzo mwa mwezi Mei nchini Marekani hufanyika onesho kubwa la mavazi na mitindo linalofahamika kama Met Gala ambapo huwakutanisha mastaa mbalimbali wa muziki, filamu na tasnia nyingine kuonesha style zao.

Inafahamika kuwa mwanzo mwa mwezi Mei nchini Marekani hufanyika onesho kubwa la mavazi na mitindo linalofahamika kama Met Gala ambapo huwakutanisha mastaa mbalimbali wa muziki, filamu na tasnia nyingine kuonesha style zao. Sasa leo millardayo.com & Ayo TV imekusogezea ushuhudie picha kadhaa za mastaa waliohudhuria Sherehe hiyo ya mavazi iliyofanyika huko jijini Newyork Mei 1, 2023 wakiwemo, P Diddy, Nick Minaj, Rihanna,Dr Dre, Kylie Jenner, Kim Kardashian, Usher, Rihanna na wengineo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live