Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa wajitokeza kuaga mwili wa Gardner

Mastaa Wajitokeza Kuaga Mwili Wa Gardner Mastaa wajitokeza kuaga mwili wa Gardner

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wasanii mbalimbali wamejitokea katika viwanja vya Leadrs Club leo Aprili 22,2024 kumuaga marehemu Gardner Habash aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Media katika kipindi cha Jahazi.

Gardner amefariki Aprili 20,2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokuwa anapatiwa matibabu.

Baada ya mwili huo kuagwa utapelekwa uwanja wa ndege kwa safari ya kuelekea kijijini kwao Wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho Aprili 23,2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live