Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa wa Nigeria wayateka matukio ya dunia

Mastaa Wa Nigeria Wayateka Matukio Ya Dunia Mastaa wa Nigeria wayateka matukio ya dunia

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mastaa wa Afrobeat kutoka Nchini Nigeria tayari wameshatokea kwenye matukio makubwa yote Duniani ya Michezo na Burudani mwaka huu 2023.

Davido alitumbuiza kwenye ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia, Qatar, Alitumbuiza kwenye Tuzo za BET, Marekani.

BurnaBoy, Rema na Tems walitumbuiza kwenye #NBAALLSTARHALTIMESHOW

BurnaBoy alitoa burudani kwenye Fainali za #UEFACHAMPIONSLEAGUE2023 huko Uturuki, June 10.

TiwaSavage Alitoa burudani kwenye sherehe za kutawazwa kwa Mfalme #CharlesIII wa Uingereza,Mei 8.

Rema ametoa burudani Usiku wa kuamkia leo kwenye Tuzo za Ballon D'or , Ufaransa.

Wasanii wetu watafika Lini Level hizi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live