Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa 15 Afrika wanaolipwa pesa ndefu zaidi kwa shoo moja

Burna Boy With Wizkid Wizkid na Burna Boy.

Thu, 31 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tumezoea kuona orodha za wasanii wakubwa wakitajwa kuingiza pesa nyingi zaidi Afrika, wiki hii imetoka orodha ambayo imewataja wasanii 15 kutoka Afrika wanaotajwa kulipwa pesa nyingi zaidi kwa shoo moja mwaka 2022.

Sasa kama ulikuwa unapanga kumualika msanii yeyote mkubwa Barani Afrika kuja kufanya shoo kwenye jambo lolote ambalo umeliandaa, inabidi ufahamu thamani yake kwa shoo moja ni kiasi gani ili aweze kupanda stejini..

Tazama orodha kamili hapa;

1. Wizkid ($200K to $1million)

2. Burna Boy (200K to $1million)

3. Davido OBO ($200K to $1million)

4. Rema ($150k to $300K)

5. Tiwa Savage ($150K to $300K)

6. Diamond Platinumz ($100K)

7. Black Coffee ($80k)

8. Fally Ipupa ($50K)

9. Alikiba ($50K)

10. Sarkodie ($45K)

11. Sauti Sol($40K)

12. Shatta Wale ($30K)

13. Stonebwoy ($30K)

14. Harmonize ($25K)

15. Nyashinski ($20K).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live