Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki wawili wa WCB wafariki dunia kwa ajali (Picha)

1690 Screen Shot 2018 01 22 At 08.22.59.png TZW

Mon, 22 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Washabiki damu wawili wa WCB wamefariki dunia kwa ajili ya gari siku ya Jumapili wakitoa Morogoro kuja Dar es salaam.

Diamond katikati na mashabiki hao waliofariki dunia

Mashabiki hao waliopata ajali ya gari maeneo ya Chalinze wakitokea Morogoro kurudi Dar es Salaam, ni Philly Nevvo na mwingine ni Platnumz Mondi kwa majina ambayo walikuwa wanatua Instagram.

Bongo5 bado inafuatilia taarifa zaidi za ajali hiyo lakini rais wa WCB, Diamond Platnumz amesikitisha kutokea kwa ajali hiyo.

“Mbele Yenu Nyuma yetu, Siku zote tutaendela kuwakumbuka na kuthamini Mapenzi na mchango wenu Mkubwa kwa @wcb_wasafi…..Mwenyez Mungu azilaze Roho zenu mahali pema peponi….amen

Chanzo: bongo5.com