Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki washangaa kumsikia J Cole kwenye albam ya Metro na Future

J Cole Mashabiki washangaa kumsikia J Cole kwenye albam ya Metro na Future

Fri, 12 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Albamu ya pili ya @metroboomin na @future “WE STILL DON’T TRUST YOU” imetoka tayari.

Imezua mjadala mkubwa na kuleta sintofahamu kwenye baadhi ya mitandao hususan mtandao wa X.

Kwenye track namba 18 RED LEATHER, #Jcole amesikika kwenye Verse ya pili jambo ambalo halikutegemewa na wengi.

Wengi wameonesha kushangazwa na kitendo hicho cha #Jcole cha kukubali kushirikishwa na wapinzani wa #Drake ambaye mwanzoni ilionekana kama wako upande mmoja.

Je, J Cole yupo sawa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live