Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki wapendekeza jina hili kwa mtoto Kylie Jenner na Travis Scott

2661 K TZW

Tue, 6 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Ikiwa ni masaa machache tokea ibanike kuwa mrembo kutoka familia ya Kardashian, Kylie Jenner amejifungua mtoto wakike, hatimaye mashabiki wa mrembo huyo wameanza kupendekeza jina la mtoto wa mrembo huyo na rapper Travis Scott.



Jina la mtoto huyo linalopendekezwa na mashabiki wa Kylie ni ‘Butterfly’ hii ni kutokana na mlolongo wa binti huyo na mpezi wake kuwa na mapenzi na mdudu aitwaye kipepeo ‘Butterfly’.

Taarifa za Kylie kujifungua mtoto zimetolewa kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na mrembo huyo, Kylie mwenye miaka 20 ameanikiwa kupata mtoto huyo wa kike na rapper Travis Scott ambaye amerithi mikoba ya mapenzi ya rapper Tyga.



Chanzo: bongo5.com