Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki wakimbilia tiketi Tamasha la Asake

Asake Ticket Mashabiki wakimbilia tiketi Tamasha la Asake

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muimbaji kutoka nchini Nigeria Asake anaendelea kuupiga mwingi kwenye show anazofanya, hii imejidhihirisha baada ya kufanikiwa kuuza ‘tiketi’ zote za show yake anayotarajia kuifanya Agosti 20, kwenye ukumbi mkubwa wa O2Arena jijini London.

Muimbaji kutoka nchini Nigeria Asake anaendelea kuupiga mwingi kwenye show anazofanya, hii imejidhihirisha baada ya kufanikiwa kuuza ‘tiketi’ zote za show yake anayotarajia kuifanya Agosti 20, kwenye ukumbi mkubwa wa O2Arena jijini London. Ukumbi huo unauwezo wa kuingiza zaidi ya watu elfu 20. Unawashauri nini wasanii wa Bongo wafanye ili waweze kujaza nje ya nchi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live