Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki wa Davido waandamana Nigeria

DAVIDO MASHABIKI Mashabiki wa Davido waandamana Nigeria

Thu, 9 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa Staa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria, Davido wamevamia barabarani kufanya maandamano kufuatia Staa huyo kutokujihusisha na Mitandao ya kijamii toka Kifo cha Mwanae.

Mashabiki wa Staa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria, Davido wamevamia barabarani kufanya maandamano kufuatia Staa huyo kutokujihusisha na Mitandao ya kijamii toka Kifo cha Mwanae. Mashabiki hao wamechukua uamuzi huo baada ya Staa huyo kuwaahidi kuwa kuanzia Mwezi Machi ataanza kufanya kazi zake na kuachia Ngoma kama kawaida hivyo wameamua kutumia njia hiyo kumkumbusha Staa huyo kuwa tayari mwezi Machi umeingia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live