Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Masha Love amchafua Jimmy Mafufu, kisa kutoa mimba

Masha Love Amchafua Jimmy Mafufu Masha Love amchafua Jimmy Mafufu

Mon, 24 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Habari kubwa kwa sasa ni suala la Masha Love kumchafua Muigizaji Jimmy Mafufu. Kiufupi Masha Love alikuwa mchepuko wa Jimmy.

Watu hawa wame-date kwa siri sana, hatimae Mimba ikaingia na hapo matatizo ndipo yakaanza kutokea kwani Masha anataka kuzaa, huku Jimmy hataki, anataka mimba itolewe maana Yeye ana mke na watoto hivyo kuzaa nje kwa Mkristo sio jambo zuri.

Kilichomkasilisha Masha ni suala la kutoa mimba, kwani yeye hayupo tayari, hivyo ndio maana akaamua kumuanika Jimmy kwenye Page yake ya Instagram, huku akivujisha mpaka massage na Voice note za Jimmy ambazo amemtaka atoe mimba hiyo.

Mbali na Hayo Masha ameeleza kwamba Jimmy amempiga na mara nyingi alikuwa akimuomba kumuingilia kinyume na Maumbile na hivi sasa amempiga Block kila sehemu.

Masha ni Miongoni mwa wanawake ambao hawajielewi, hivi mtu unajua kabisa unayechepuka nae ana mke na watoto then unajipatisha mimba yake! Hivi Unaanzaje kupata mimba ya mchepuko?

Kwanza Jimmy angeamini vipi kama ni mimba yake? Wewe ni mchepuko tu, usikute unapita na wengine pia.

Kiukweli Masha amezingua sana, amemdhalilisha sana Jimmy, Jamaa mwenyewe aliwahi kumuonya Masha, alisema awe anafuta massage na voice note maana siku zikivuja lazima ataaibika sana maana yupo karibu sana na Watumishi wa Mungu.

Sema Jimmy alipozingua ni pale anaposema kwamba Masha anampa mambo matamu, kiasi kwamba angekuwa hajaoa angemuona Masha. Wanaume tujifunze, haya mambo ya kudate na Mademu walioshindikana tutakuja kuaibika.

Licha ya stori zote hizo lakini bado haijathibitika iwapo kweli mastaa hao ni wapenzi huku wengine wakidai kuwa video hiyo ni behind the scene ya moja ya filamu walizocheza hivi karibuni ama kiki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live