Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Masha Love: Narudi kutengeneza shepu nimpiku Aunt

Masha Na Aunt Masha Love: Narudi kutengeneza shepu nimpiku Aunt

Tue, 23 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mjini kuna vituko jamani! Wakati wengine wakihangaika na mambo kama ya tozo mitandaoni, muuza sura mitandaoni Masha Love amesema anataka kurudi kwa mara nyingine nchini Uturuki kutengeneza shepu.

Masha Love ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Wasafi TV ambapo alisema anataka pia kwenda kuongeza kidogo matiti yake yawe makubwa.

“Eee narudi nataka nimfunike shoga angu aunt naona siku hizi mambo sio mabaya. Mimi safari ile ya kwanza nilipunguza humu kwenye mbavu kidogo sasa hivi nata nikaongeze kidogo matiti,” alisema Masha Love.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live