Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Masanja awaangushia maombi ya nguvu waandishi

Masanja New Masanja awaangushia maombi ya nguvu waandishi

Mon, 22 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchungaji na mchekeshaji Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ amewaangushia maombi ya nguvu waandishi wa habari ambao walikuwa wakifanya naye mahojiano hivi karibuni jijini Dar.

Siku hiyo, Masanja alikuwa kwenye uzinduzi wa taasisi ya kizalendo ambayo alisema moja ya mambo watakayokuwa wanayafanya ni kuhamasisha kuhusu mambo mazuri yanayofanywa na Serikali ndipo alipolazimika kuwaombea waandishi.

“Tatizo lenu nyinyi mkiambiwa haya mambo ya msingi mnayakata na kuacha yale ya kutrendi sasa hapa leo nawaombea ili mtu akikata haya mambo ya sense akabanywe na TCRA,” alisema Masanja na kushusha maombi hayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live