Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maryann aliyekuwa mpenzi wa TID: amsifu TID ‘Callisah ni mtoto!’ (Video)

Wed, 7 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Maryann Queen ambaye alikuwa mpenzi wa TID Mnyama, amedai mpenzi wake huyo alikuwa anamchukulia kama mtoto wake kabla ya kuachana. Muimbaji huyo raia wa Kenya ambaye anajipanga kuachia video ya wimbo wake mpya Chakacha wiki hii amedai kwa sasa hayupo tena kwenye mahusiano ya mapenzi na TID kutokana na kusambaa picha zake akiwa na Calilsah.

Chanzo: bongo5.com