Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Martha Stewart: Sina mahusiano na Pete Davidson

WhatsApp Image 2022 08 15 At 6.jpeg Martha Stewart

Mon, 15 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Akiwa kwenye harakati za kutangaza Wine yake mpya aliyozindua na Snoop Dogg, Mtangazaji maarufu Martha Stewart (81) amesema hana mahusiano ya kimapenzi na Ex wa Kim Kardashian, Pete Davidson.

Akiwa kwenye harakati za kutangaza Wine yake mpya aliyozindua na Snoop Dogg, Mtangazaji maarufu Martha Stewart (81) amesema hana mahusiano ya kimapenzi na Ex wa Kim Kardashian, Pete Davidson. Martha kaongea na Daily Mail nakusema. "Pete ni kama mtoto wangu wa kiume, ni mtu charming, nimempa mwaliko kwenye Podcast yangu na soon mtasikia atakachosema."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live