Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

‘Maromboso alikuwa hataki kabisa muziki mimi ndiye niliyemleta WCB’ Rayvanny

2191 I5 660x400

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Rayvanny kaelezea namna ambavyo alimpeleka Maromboso WCB ambapo kasema kuwa Maromboso alifika mahali akawa hataki kabisa muziki ndipo yeye akamtia moyo na kumwambia kuwa anaweza kufanya na ndipo Rayvany alipomfuata Diamond na kumshawishi kuhusu Maromboso.

Rayvanny amesema kuwa “Kila mtu anafungu lake na muziki ni bahati, nimeshukuru sana Maromboso kuja na mimi nilikuwa ni chachu ya Maromboso kuja Wasafi kwa sababu alikuwa hataki kabisa maswala ya muziki,”

“Mimi ndiye nilimfuata na kumwambia mwanangu unaweza kufanya na mimi nikaongea  Diamond hasa ikawa ngumu wao kuonana ikabidi niamke asubuhi kumfuata maromboso kwao na kumleta WCB” – Rayvanny

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza RAYVANNY..



VIDEO: Wema alivyomuita Diamond kwenye Stage

Chanzo: millardayo.com