Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo naye ataka mchumba baada kuishi kwenye bonge la mjengo

Marioo Mjengo Mwanamke Marioo naye ataka mchumba baada kuishi kwenye bonge la mjengo

Thu, 12 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wasanii ni kama wamechachuka na masuala ya mahusiano. Baada ya Chege kusema anataka kuona mwaka huu, Marioo naye amesema anataka mwanamke wa kuishi naye.

Marioo ameandika hilo kwenye Insta Story yake baada ya kushea picha ya mjengo wake anaoishi na kusindikiza na jumbe mbili tofauti.

“Jumba kubwa kama hili linahitaji mwanamke or else its just a hall.” “Aisee najiona kabisa that I need woman with beuty and brain to take care of my affairs.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live