Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo na Rayvanny watauana, Basata waingilie kati-Mwijaku

Marioo Na Rayvanny Watauana, Basata Waingilie Kati Mwijaku Marioo na Rayvanny watauana, Basata waingilie kati-Mwijaku

Wed, 19 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chawa maarufu na mtangazaji wa Clouds FM, Mwijaku amesema kwamba kuna bifu linafukuta kati ya wasanii wawili, Marioo na Rayvanny chanzo kikiwa ni Paula.

Mwijaku amesema, hivi karibuni wasanii hao walipokuwa kwenye bethidei ya Billnass, wasanii hao hawakusalimiana kitu ambacho anaona ni hatari.

"Hii ni hatari, hata kama ni mambo ya mahusiano kwamba Rayvanny anaumia Paula kuchukuliwa na Marioo lakini haya ndio mambo yalisababisha hata kule Marekani wasanii wakauana, ogopa sana mwanamke ndio chanzo cha uhasama popote, Basata wawasaidie," alisema Mwijaku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live