Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo kutumbuiza O2 ARENA mwaka huu, amtaja Davido

Davi Na Marioo Marioo kutumbuiza O2 ARENA mwaka huu, amtaja Davido

Mon, 6 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki ETrending Staa wa Muziki Marioo baada ya kufanya tukio kubwa la Kihistoria pale Mlimani City Januari 28,2023, sasa ameweka imani yake wazi kuwa anaamini ndani ya mwaka huu atatumbuiza katika Ukumbi mkubwa wa burudani wa 02 ARENA unaopatikana London, UK huku akisema kuwa anaamini Staa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria Davido atamsaidia kwenye hilo.

Licha ya Kolabo ya Marioo na Davido kufeli kutokana na wote wawili kukosa nafasi bado inaonekana kuna ukaribu wawili hao bado wanao.

Kupitia ukurasa wa Twitter #Marioo ameandika....

"I believe I'll perform in the 02 Arena in London this year and I'm sure my big brother @davido OBO ???? will make that possiple"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live