Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo kutoa burudani kali DAR, usiku wa leo Maison Club Oct 16

Errrrrr 660x400.png Marioo kutoa burudani kali DAR, usiku wa leo Maison Club Oct 16

Sat, 16 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Mkali kutokea Bongo Flevani, Marioo ambapo kwa mara ya kwanza atawaaimbia mashabiki watakaofika leo Octoba 16, 2021 Maison Club DSM.

Marioo ataimba live wimbo wake unaotamba kwa jina la Beer Tamu.

Mbali na show hiyo pia kutakuwa na suprise mbalimbali, Maison Club ipo Masaki mkabala na Sea Cliff Hotel Dar es Salaam.

Chanzo: millardayo.com