Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo kulipa mahari ya Tsh Milioni 100 kwa Paulah

Paula Kajala Ana Ujauzito Wa Marioo Marioo kulipa mahari ya Tsh Milioni 100 kwa Paulah

Sun, 22 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Marioo "Toto Bad" amejibu kuwa yupo tayari kutoa mahari ya Tsh Milioni 100 kwa mpenzi wake Paulah ambaye ni binti wa staa wa filamu Kajala na Producer mkongwe wa muziki nchini P Funk Majani.

Mwanamuziki Marioo "Toto Bad" amejibu kuwa yupo tayari kutoa mahari ya Tsh Milioni 100 kwa mpenzi wake Paulah ambaye ni binti wa staa wa filamu Kajala na Producer mkongwe wa muziki nchini P Funk Majani. Marioo amejibu hivyo kupitia clip video hii aliyofanya Interview kupitia East Africa TV  na video kamili bonyeza hapo chini kutazama.  

Chanzo: www.tanzaniaweb.live